Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Kimehadhalisha walaji wa nyama ya Nguruwe nchini kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa. Utafi...
SHAMBANI SOLUTIONS: TANZANIA TO HOST AGRIBUSINESS EVENT WHICH WILL SHO...
SHAMBANI SOLUTIONS: TANZANIA TO HOST AGRIBUSINESS EVENT WHICH WILL SHO... : Agribusiness Congress East Africa programme director Amore Swart...
KRISMASI NI SHEREHE ZA KIDINI?
HISTORIA YA KRISMASI Ndugu zangu leo ni Krismas, ni sherehe zinazoazimishwa kila mwaka tarehe kama ya leo mwezi kama huu 25 Desemba. Sh...
KANUNI ZA KILIMO BORA CHA MAHINDI.
KANUNI YA KWANZA Panda mapema Tayarisha shamba mapema kwa zana yoyote iliyo ndani ya uw...
KILIMO CHA MAPARACHICHI KIBIASHARA.
Matunda ya Maparachichi yanazidi kuwa ni mazao ya muhimu katika nchi za joto na joto kiasi katika ulimwengu. Kutokana na taarifa ya mwaka 19...
LINI MAHAFALI YA MKULIMA MDOGO MDOGO YATAFIKA?
Habari ya siku mbili tatu ndugu zangu wakulima, ni kama siku tano sasa sijawawekea chochote humu. Ni majukumu tu yalinizidi wakulima wenzagu...
SHAMBANI SOLUTIONS: A BILLIONAIRE'S ADVICE: "INVEST IN AGRICULTURE"
SHAMBANI SOLUTIONS: A BILLIONAIRE'S ADVICE: "INVEST IN AGRICULTURE" : Bilionare Jim Rodgers That pearl of advice is from ...
UTAYARISHAJI WA MBOGA ZA MAJANI
Mboga za majani zinashika nafasi muhimu sana katika vyakula vyetu. Zinaliwa kila na mara nyingi zaidi ya mara moja kwa siku. Zipo aina...
Superfood that helps detoxify your body.
Have you noticed that practically everyday a new story comes out in the media about the toxic side effects of living in a modern world?...
KILIMO BORA CHA ALIZETI
Alizeti ni kati ya mazao yanayotoa mbegu za mafuta. Hutoa mafuta kati ya asilimia 45-55 na mashudu yake ni chalula cha mifugo. Alizeti huvum...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA (4)- AINA YA MIZIZI
(i) RADISHI. Zao la radishi hujulikana pia kama "Karoti Nyeupe", hupendwa sana na wakulima kwa sababu hustawishwa kwa urahisi na...
FASO TANZANIA: IJUE ALIZETI INAVYOTUMIKA KAMA MALISHO YA MIFUGO.
FASO TANZANIA: IJUE ALIZETI INAVYOTUMIKA KAMA MALISHO YA MIFUGO. : Alizeti haitoi mailisho pekee, pia inatoa mafuta bora kwa afya ya binada...
Fwd: KILIMO CHA MBOGA MBOGA (3)- AINA YA MABOGA.
---------- Forwarded message ---------- From: mmisungwi@gmail.com Date: Wed, 27 Nov 2013 07:46:00 +0100 Subject: KILIMO CHA MBOGA MBOGA ...
Thanksgiving_ Dear friend, The holidays are all about excess, Overpriced gifted, Overbooked Schedules, and_ of_course too much food.
---------- Forwarded message ---------- From: "Danielle Nierenberg, Food Tank" < danielle@foodtank.org > Date: Mon, 25 Nov...
MKULIMA TAFADHALI USINUNUE PEMBEJEO OVYO!
Ndugu zangu wakulima, ni msimu wa kilimo sasa, mvua zimekwishaanza kunyesha maeneo mengi hapa nchini. Najua mkulima yuko bize kuhakikisha an...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA (3)- AINA YA MABOGA.
(i) MATANGO Asili yake ni Afrika au Asia, lakini kwa sasa hustawishwa katika sehemu nyingi za kitropiki. Matunda yake hukatwa katwa na kuli...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA (2)- MATUNDA
(v) BAMIA Asili ya mboga hii ni Afrika ya Kati na ya Mashariki, lakini kwa sasa zao hili limekwisha enea katika sehemu nyingi za kitropiki...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA (2)- MATUNDA
(iv) NYANYA MSHUMAA. Zao hili pia hujulikana kwa jina la "Nyanya Chungu", "Ngogwe" au "Ntongo". Huu ni mmea ...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA (2)- MATUNDA
(iii) PILIPILI Pilipili ni kiungo kikali, hutumiwa kwa kukoleza mchuzi na vyakula mbali mbali. Pilipili zinaweza kupikwa zikiwa nzima au ku...
BIG RESULTS NOW! Malaysia na Tanzania.
Kwanza kabisa kila mtanzania kwa sasa anajua na kulisikia sana neno hili la "Big Results Now" Matokeo makubwa sasa. Mfumo huu se...
UGONJWA WA MATUPA KWENYE MAHINDI (SMUT).
Ugonjwa huu hushambulia sehemu za uzazi za mahindi. Mashambulizi hufanywa na aina mbili za vimelea jamii ya uyoga (ukungu) vijul...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA (2)- MATUNDA.
(ii) BILINGANYA Zao hili hustawi zaidi katika nchi za joto, hasa kusini mwa Asia, Mashariki ya Mbali na Afrika. (a) AINA ZAKE Kama ilivyo kw...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA (2)- MATUNDA.
(i) NYANYA (d) MAGONJWA YA NYANYA. Kuna magonjwa mengi ambayo hushambulia sehemu zote za mmea wa nyanya. Baadhi ya magonjwa husababishwa ...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA (2)- MATUNDA.
(i) NYANYA. Baada ya kutoa maelezo ya jumla kuhusu kilimo cha mboga katika sehemu ya kwanza ya mfululizo wa makala hii, nilisema kwamba mbog...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA (1).
Mboga ni moja ya vyakula vilivyo muhimu sana kwa uhai wa afya ya binadamu. Mara nyingi mboga hutumiwa kama kitoweo, aina nyingi za mboga huw...
MKULIMA KUWA MAKINI NA MBOLEA YA MAJI-(SUPER GRO).
Ndugu zangu wakulima, nafahamu kwamba mnajiandaa na msimu wa kilimo sasa. Na najua pia changamoto mnazokumbana nazo kwenye maandalizi ya kuh...
Fwd: MPANGO WA MIKOPO YA PEMBEJEO.
---------- Forwarded message ---------- From: mmisungwi@gmail.com Date: Thu, 7 Nov 2013 21:08:00 +0400 Subject: MPANGO WA MIKOPO YA PEMB...
UTI WA MGONGO WA TAIFA UMEKUFA
Habari ndugu zangu watanzania, ni matumaini hamjambo nyote. Poleni na shughuli za ujenzi wa Taifa, wakulima wanahangaika kuandaa mashamba...