Ndugu zangu wakulima, wadau wa kilimo na watembeleaji wa blogu hii, kama mnakumbuka nilishawahi kuandika kuhusu mada hii ya Uyoga. Leo ntael...
MAGONJWA SUGU KWA KILIMO CHA KAHAWA NA UDHIBITI WAKE
Kahawa ni zao kubwa la biashara linaloliingizia taifa fedha nyingi za kigeni. Ni la pili baada ya Tumbaku. Lakini zao hili linakabiliwa na ...
WADUDU WAHARIBIFU WA KAHAWA NA JINSI YA KUWADHIBITI
Udhibiti sahihi wa visumbufu vya mimea ni njia ni njia mojawapo ya kuongeza tija katika kilimo, na ubora wa mazao. Kwa kuwa kwa kipindi hiki...
UTUNZAJI WA VIFARANGA
Habarini ndugu zangu wakulima, wafugaji na watembeleaji na wapenzi wa blogu hii. Leo ningependa tujulishane na kufundishana juu ya ufugaji w...
SEMINA ELEKEZI YA MIKOPO YA PEMBEJEO CHINI YA AGRA
Ili kufanikiwa katika kilimo kunahitajika Pembejeo bora mashambani. Pembejeo hizo zinahitaji fedha, na wakulima wetu wengi ni wakulima wadog...
MBOGA ZA MAUA: 2 BROKOLI.
Zao hili nalo pia ni geni katika nchi hii, lakini kwa kuwa linaendelea kulimwa na hupendwa na wakazi wengi, ni vizuri kuelewa jinsi ya kulis...
MBOGA ZA MAUA 1. KOLIFLAWA
Zao hili hustawishwa kwa ajili ya kichwa au ua lake ambalo kwa kawaida ni jeupe na gumu. Ustawi wake karibu ni sawa na kabeji. Ingawa kolifl...
MAGONJWA YA NG'OMBE.
Ndugu wakulima na wasomaji wangu kwa ujumla, leo napenda tujulishane na kukumbushana kuhusu baadhi ya magonjwa ya ng'ombe. Leo tutaangal...
Fw: UZALISHAJI BORA WA UYOGA.
Sent using a Sony Ericsson mobile phone ---- Original message ---- From: Marcodenis < mmisungwi@gmail.com > Sent: 30-Jan-2014...
MAGONJWA MUHIMU YA KUKU
Kwa leo ndugu wasomaji nitayaelezea magonjwa mawili yasiyo na tiba ya kuku. Ili mkulima uweze kutambua jinsi ya kuwakinga kuku wako na kuepu...
SHAMBANI SOLUTIONS: ICT ADVANCEMENT SHOULD HELP FARMERS PRESS AHEAD
SHAMBANI SOLUTIONS: ICT ADVANCEMENT SHOULD HELP FARMERS PRESS AHEAD : ICT use has enabled farmers and businesspeople across the country to d...
KULISHA KUKU WA ASILI
Kuku wa asili pia wanahitaji viinilishe vyote muhimu kama ilivyo kwa kuku wa kigeni kama wale wa nyama na mayai. Swala la msingi katika lish...
KILIMO BORA CHA VITUNGUU.
KANUNI YA KWANZA. Kuotesha mbegu katika kitalu Tengeneza matuta yenye upana wa mita 1 na urefu wowote kutegemea na mahitaji yako. Weka mbole...
UJUE UTUPA NA KAZI ZAKE
Utupa unaojulikana kwa jina la kitaalamu kama (Tephrosia vogelii). Kuna aina kuu tatu za Utupa ambazo hutofautiana kwa maua yake, yaani; Nja...
NDIGANA BARIDI, UGONJWA HATARI KWA MIFUGO.
Ndigana baridi (Anaplasmosis) ni ugonjwa unaosababishwa na kupe, mbung'o na inzi aina ya Stomoxys kwa mifugo yako hasa ng'ombe, mbuz...