Jopo la waheshimiwa madiwani, Kamati ya Uchumi wametembelea mradi wa maji kwa ajili ya huduma za umwagiliaji katika kijiji cha Nansama kata ...
![ZIARA YA KAMATI YA UCHUMI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOZI YATEMBELEA MRADI WA BWAWA LA NANSAMA.](http://3.bp.blogspot.com/-jJUFqoYGu0g/U0mr4mtla4I/AAAAAAAAAOI/bpppZR9n3t0/s72-c/IMG_20140411_115223730-757532.jpg)
Mtandao huu ni kwa ajili ya kuelimishana juu ya Kilimo na Mifugo na changamoto zake. Karibu tujifunze wote.
Jopo la waheshimiwa madiwani, Kamati ya Uchumi wametembelea mradi wa maji kwa ajili ya huduma za umwagiliaji katika kijiji cha Nansama kata ...
Maharage n zao muhimu kwa chakula, lishe na kipato kwa familia na Taifa. Kwa mavuno mengi ni vizuri kuzingatia kanuni bora muhimu za kilimo ...
Ndugu zangu wakulima, wadau wa kilimo na watembeleaji wa blogu hii, kama mnakumbuka nilishawahi kuandika kuhusu mada hii ya Uyoga. Leo ntael...
Kahawa ni zao kubwa la biashara linaloliingizia taifa fedha nyingi za kigeni. Ni la pili baada ya Tumbaku. Lakini zao hili linakabiliwa na ...
Udhibiti sahihi wa visumbufu vya mimea ni njia ni njia mojawapo ya kuongeza tija katika kilimo, na ubora wa mazao. Kwa kuwa kwa kipindi hiki...
Habarini ndugu zangu wakulima, wafugaji na watembeleaji na wapenzi wa blogu hii. Leo ningependa tujulishane na kufundishana juu ya ufugaji w...
Ili kufanikiwa katika kilimo kunahitajika Pembejeo bora mashambani. Pembejeo hizo zinahitaji fedha, na wakulima wetu wengi ni wakulima wadog...
Zao hili nalo pia ni geni katika nchi hii, lakini kwa kuwa linaendelea kulimwa na hupendwa na wakazi wengi, ni vizuri kuelewa jinsi ya kulis...
Zao hili hustawishwa kwa ajili ya kichwa au ua lake ambalo kwa kawaida ni jeupe na gumu. Ustawi wake karibu ni sawa na kabeji. Ingawa kolifl...
Ndugu wakulima na wasomaji wangu kwa ujumla, leo napenda tujulishane na kukumbushana kuhusu baadhi ya magonjwa ya ng'ombe. Leo tutaangal...
Sent using a Sony Ericsson mobile phone ---- Original message ---- From: Marcodenis < mmisungwi@gmail.com > Sent: 30-Jan-2014...
Kwa leo ndugu wasomaji nitayaelezea magonjwa mawili yasiyo na tiba ya kuku. Ili mkulima uweze kutambua jinsi ya kuwakinga kuku wako na kuepu...
SHAMBANI SOLUTIONS: ICT ADVANCEMENT SHOULD HELP FARMERS PRESS AHEAD : ICT use has enabled farmers and businesspeople across the country to d...
Kuku wa asili pia wanahitaji viinilishe vyote muhimu kama ilivyo kwa kuku wa kigeni kama wale wa nyama na mayai. Swala la msingi katika lish...
KANUNI YA KWANZA. Kuotesha mbegu katika kitalu Tengeneza matuta yenye upana wa mita 1 na urefu wowote kutegemea na mahitaji yako. Weka mbole...