✍Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa. 👉Katika miji na...

Mtandao huu ni kwa ajili ya kuelimishana juu ya Kilimo na Mifugo na changamoto zake. Karibu tujifunze wote.
✍Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa. 👉Katika miji na...
UTANGULIZI Ufuta (simsim/sesame) ni zao la kibiashara ambalo mbegu zake zina kiasi kikubwa cha mafuta kiasi cha asilimia 45 hadi 55.Na zao...
Mchicha ni mboga za majani na maua yake hutumika katika kutengeneza mchuzi rojorojo. Mbegu za mchicha ni chakula safi kwa watoto wachanga. M...
Leo nataka nikuonyeshe jinsi ya kutengeneza chakula cha vifaranga wadogo yaani wa wiki 1 hadi wiki 4. Mahitaji muhimu katika utengenezaji ...
Habarini ndugu zangu wapenzi wasomaji wa mtandao wangu, poleni na shughuri za ujenzi wa taifa. Hatukuwa pamoja kwa wiki kadhaa kutokana na...
On 11 Nov 2015 08:33, "Marcodenis Misungwi" < mmisungwi@gmail.com > wrote: Habari ndugu mpenzi msomaji wa makala zangu za ki...
SHAMBANI SOLUTIONS: WHY AGRICULTURE NEEDS YOUNG PEOPLE : Currently, 2.5 billion people depend on agriculture for their livelihoods. Globally...
KAHAWA BORA Ubora wa kahawa ndio uti wa mgongo kwa upatikanaji wa bei nzuri. Ili mkulima apate bei nzuri, ni muhimu azingatie kanuni zote ki...
Habarini ndugu zangu wakulima na wadau wote wa Kilimo. Nilikwisha wahi andika juu ya Kilimo bora cha Uyoga, na kueleza kwa kina ni jinsi gan...
Habari za siku mbili tatu ndugu zangu wakulima na wadau wote wa kilimo. Poleni na shughuri za kilimo hasa uvunaji maana sasa ni kipindi cha ...
Katika mfumo wa uchumi wa soko huria, mkulima wa Tanzania hana budi kushindana kwa kuzalisha mazao kwa wingi na kwa gharama ndogo. Inampasa ...
Wakulima wengi huingia hasara kubwa pale mazao yao yanapoharibika kwa kukosa masoko. Kufahamu michakato ya ukaushaji mazao utawawezesha kuya...
Uzoefu umeonyesha kuwa wafugaji wengi wa kuku wa kisasa (Commercial Chicken). Kuku hupatwa na magonjwa ya virusi licha ya kuwa wamechanjwa. ...
Ndugu zangu wakulima, wadau wote wa kilimo na wasomaji wa mtandao huu. Tunaelekea kwenye mavuno sasa ambapo sehemu mbalimbali ama wameanza a...
Jopo la waheshimiwa madiwani, Kamati ya Uchumi wametembelea mradi wa maji kwa ajili ya huduma za umwagiliaji katika kijiji cha Nansama kata ...