---------- Forwarded message ---------- From: mmisungwi@gmail.com Date: Wed, 27 Nov 2013 07:46:00 +0100 Subject: KILIMO CHA MBOGA MBOGA ...
Thanksgiving_ Dear friend, The holidays are all about excess, Overpriced gifted, Overbooked Schedules, and_ of_course too much food.
---------- Forwarded message ---------- From: "Danielle Nierenberg, Food Tank" < danielle@foodtank.org > Date: Mon, 25 Nov...
MKULIMA TAFADHALI USINUNUE PEMBEJEO OVYO!
Ndugu zangu wakulima, ni msimu wa kilimo sasa, mvua zimekwishaanza kunyesha maeneo mengi hapa nchini. Najua mkulima yuko bize kuhakikisha an...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA (3)- AINA YA MABOGA.
(i) MATANGO Asili yake ni Afrika au Asia, lakini kwa sasa hustawishwa katika sehemu nyingi za kitropiki. Matunda yake hukatwa katwa na kuli...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA (2)- MATUNDA
(v) BAMIA Asili ya mboga hii ni Afrika ya Kati na ya Mashariki, lakini kwa sasa zao hili limekwisha enea katika sehemu nyingi za kitropiki...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA (2)- MATUNDA
(iv) NYANYA MSHUMAA. Zao hili pia hujulikana kwa jina la "Nyanya Chungu", "Ngogwe" au "Ntongo". Huu ni mmea ...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA (2)- MATUNDA
(iii) PILIPILI Pilipili ni kiungo kikali, hutumiwa kwa kukoleza mchuzi na vyakula mbali mbali. Pilipili zinaweza kupikwa zikiwa nzima au ku...
BIG RESULTS NOW! Malaysia na Tanzania.
Kwanza kabisa kila mtanzania kwa sasa anajua na kulisikia sana neno hili la "Big Results Now" Matokeo makubwa sasa. Mfumo huu se...
UGONJWA WA MATUPA KWENYE MAHINDI (SMUT).
Ugonjwa huu hushambulia sehemu za uzazi za mahindi. Mashambulizi hufanywa na aina mbili za vimelea jamii ya uyoga (ukungu) vijul...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA (2)- MATUNDA.
(ii) BILINGANYA Zao hili hustawi zaidi katika nchi za joto, hasa kusini mwa Asia, Mashariki ya Mbali na Afrika. (a) AINA ZAKE Kama ilivyo kw...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA (2)- MATUNDA.
(i) NYANYA (d) MAGONJWA YA NYANYA. Kuna magonjwa mengi ambayo hushambulia sehemu zote za mmea wa nyanya. Baadhi ya magonjwa husababishwa ...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA (2)- MATUNDA.
(i) NYANYA. Baada ya kutoa maelezo ya jumla kuhusu kilimo cha mboga katika sehemu ya kwanza ya mfululizo wa makala hii, nilisema kwamba mbog...
KILIMO CHA MBOGA MBOGA (1).
Mboga ni moja ya vyakula vilivyo muhimu sana kwa uhai wa afya ya binadamu. Mara nyingi mboga hutumiwa kama kitoweo, aina nyingi za mboga huw...
MKULIMA KUWA MAKINI NA MBOLEA YA MAJI-(SUPER GRO).
Ndugu zangu wakulima, nafahamu kwamba mnajiandaa na msimu wa kilimo sasa. Na najua pia changamoto mnazokumbana nazo kwenye maandalizi ya kuh...
Fwd: MPANGO WA MIKOPO YA PEMBEJEO.
---------- Forwarded message ---------- From: mmisungwi@gmail.com Date: Thu, 7 Nov 2013 21:08:00 +0400 Subject: MPANGO WA MIKOPO YA PEMB...
UTI WA MGONGO WA TAIFA UMEKUFA
Habari ndugu zangu watanzania, ni matumaini hamjambo nyote. Poleni na shughuli za ujenzi wa Taifa, wakulima wanahangaika kuandaa mashamba...
SEKTA YA MIFUGO TANZANIA: SHUBIRI MWITU (ALOE) TIBA YA MAGONJWA YA KUKU
SEKTA YA MIFUGO TANZANIA: SHUBIRI MWITU (ALOE) TIBA YA MAGONJWA YA KUKU : Shubiri mwitu (Aloe) ni mmea ambao umekuwa ukitumika kwa kutibu ma...
SEKTA YA MIFUGO TANZANIA: KILIMO KWANZA: KILIMO CHA KUTUMIA JEMBE LA KUKOKOT...
SEKTA YA MIFUGO TANZANIA: KILIMO KWANZA: KILIMO CHA KUTUMIA JEMBE LA KUKOKOT... : Ulimaji huu wa kutumia jembe linalokokotwa na ng'ombe ...
MITIKI -KILIMO KWANZA: NG'OMBE - KWA TAARIFA YAKO
MITIKI -KILIMO KWANZA: NG'OMBE - KWA TAARIFA YAKO : Ng'ombe mwenye afya kwa kawaida pua yake huwa na unyevu unyevu au kama vile ina...
MITIKI -KILIMO KWANZA: KILIMO BORA CHA MIHOGO
MITIKI -KILIMO KWANZA: KILIMO BORA CHA MIHOGO : Zao la muhogo ni muhimu sana kwa Tanzania zaidi kwa wakulima wadogo wenye kipato cha chin...
WAJANJA WA TOWN: KAMA ULIKUWA HUJAONA BASI ANGALIA HAPA MATOKEO YA ...
WAJANJA WA TOWN: KAMA ULIKUWA HUJAONA BASI ANGALIA HAPA MATOKEO YA ... : EXCLUSIVE: Matokeo Darasa la SABA 2013 haya hapa! Standard 7 2013 E...
Habari ndugu zangu watanzania, nimeamua kuanzisha blogu hii kama njia mojawapo ya kuwasemea wakulima, ninatoa ombi uitembelee blogu hii na kutoa mchango wa kimawazo ya jinsi gani kilimo chetu tukiendeshe lengo kubwa ni kumwezesha mkulima anufaike na kilimo chake. Karibuni sana.