KILIMO FORUM

Mtandao huu ni kwa ajili ya kuelimishana juu ya Kilimo na Mifugo na changamoto zake. Karibu tujifunze wote.

Thursday, February 27, 2014

SEMINA ELEKEZI YA MIKOPO YA PEMBEJEO CHINI YA AGRA

›
Ili kufanikiwa katika kilimo kunahitajika Pembejeo bora mashambani. Pembejeo hizo zinahitaji fedha, na wakulima wetu wengi ni wakulima wadog...
1 comment:
Tuesday, February 18, 2014

MBOGA ZA MAUA: 2 BROKOLI.

›
Zao hili nalo pia ni geni katika nchi hii, lakini kwa kuwa linaendelea kulimwa na hupendwa na wakazi wengi, ni vizuri kuelewa jinsi ya kulis...
1 comment:
Thursday, February 13, 2014

MBOGA ZA MAUA 1. KOLIFLAWA

›
Zao hili hustawishwa kwa ajili ya kichwa au ua lake ambalo kwa kawaida ni jeupe na gumu. Ustawi wake karibu ni sawa na kabeji. Ingawa kolifl...
1 comment:
Friday, January 31, 2014

MAGONJWA YA NG'OMBE.

›
Ndugu wakulima na wasomaji wangu kwa ujumla, leo napenda tujulishane na kukumbushana kuhusu baadhi ya magonjwa ya ng'ombe. Leo tutaangal...
Thursday, January 30, 2014

Fw: UZALISHAJI BORA WA UYOGA.

›
Sent using a Sony Ericsson mobile phone ---- Original message ---- From: Marcodenis < mmisungwi@gmail.com > Sent: ‎30-Jan‎-2014...
1 comment:
Saturday, January 25, 2014

MAGONJWA MUHIMU YA KUKU

›
Kwa leo ndugu wasomaji nitayaelezea magonjwa mawili yasiyo na tiba ya kuku. Ili mkulima uweze kutambua jinsi ya kuwakinga kuku wako na kuepu...
1 comment:
Friday, January 24, 2014

SHAMBANI SOLUTIONS: ICT ADVANCEMENT SHOULD HELP FARMERS PRESS AHEAD

›
SHAMBANI SOLUTIONS: ICT ADVANCEMENT SHOULD HELP FARMERS PRESS AHEAD : ICT use has enabled farmers and businesspeople across the country to d...
1 comment:
Saturday, January 18, 2014

KULISHA KUKU WA ASILI

›
Kuku wa asili pia wanahitaji viinilishe vyote muhimu kama ilivyo kwa kuku wa kigeni kama wale wa nyama na mayai. Swala la msingi katika lish...
1 comment:
Thursday, January 16, 2014

KILIMO BORA CHA VITUNGUU.

›
KANUNI YA KWANZA. Kuotesha mbegu katika kitalu Tengeneza matuta yenye upana wa mita 1 na urefu wowote kutegemea na mahitaji yako. Weka mbole...
Saturday, January 11, 2014

UJUE UTUPA NA KAZI ZAKE

›
Utupa unaojulikana kwa jina la kitaalamu kama (Tephrosia vogelii). Kuna aina kuu tatu za Utupa ambazo hutofautiana kwa maua yake, yaani; Nja...
1 comment:
Thursday, January 2, 2014

NDIGANA BARIDI, UGONJWA HATARI KWA MIFUGO.

›
Ndigana baridi (Anaplasmosis) ni ugonjwa unaosababishwa na kupe, mbung'o na inzi aina ya Stomoxys kwa mifugo yako hasa ng'ombe, mbuz...
1 comment:
Sunday, December 29, 2013

WALAJI WA NYAMA YA NGURUWE HATARINI KUUGUA KIFAFA.

›
Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Kimehadhalisha walaji wa nyama ya Nguruwe nchini kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa. Utafi...
1 comment:
Thursday, December 26, 2013

SHAMBANI SOLUTIONS: TANZANIA TO HOST AGRIBUSINESS EVENT WHICH WILL SHO...

›
SHAMBANI SOLUTIONS: TANZANIA TO HOST AGRIBUSINESS EVENT WHICH WILL SHO... : Agribusiness Congress East Africa programme director Amore Swart...
1 comment:
Wednesday, December 25, 2013

KRISMASI NI SHEREHE ZA KIDINI?

›
HISTORIA YA KRISMASI Ndugu zangu leo ni Krismas, ni sherehe zinazoazimishwa kila mwaka tarehe kama ya leo mwezi kama huu 25  Desemba. Sh...
Sunday, December 22, 2013

KANUNI ZA KILIMO BORA CHA MAHINDI.

›
                                        KANUNI YA KWANZA Panda mapema Tayarisha shamba mapema kwa zana yoyote iliyo ndani ya uw...
‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile